RC Tabora Aggrey Mwanri ametangaza vita kwa wanawake wanaoingia Mkoani kwake kwa ajili ya kufanya biashara za ukahaba ni baada ya kupata taarifa ya ongezeko la watu hao katika maeneo ya Miji wakati wa usiku.
“Nitasaka guest house zote hawa watu hawa watatuvurugia mambo sana wanakuja kuuza miili na tutakwenda hadi kwenye hizo geto na vita hivi tutavishinda kwa uhalali wa vita yenyewe” RC Mwanri
RAIS MAGUFULI “SUGU OYEEE, MOYO WAKE NI KAMA CCM”