Top Stories

RC Mwanri azungumzia alivyojipanga kwa uchaguzi mdogo Tabora

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabota Aggrey Mwanri ametoa kauli yake kuhusiana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakaribia kuanza, “Rais anasema tuchague Viongozi lakini tusichague wanaopelekwa pale kupitia rushwa, sio suala la kusema tumempata fulani, lakini tunataka Mtu mnayemchagua akidhi hoja na haja na kusema nimewekwa hapa kwa kipindi cha Miaka 5 niweze kuwajengea matumaini Watu wangu”.

RC MAKONDA AMWAMBIA WAZIRI JAFO ‘NITAONDOKA NAO”

Soma na hizi

Tupia Comments