Top Stories

RC Makonda ” Mkoa huu hatujampa Rais Magufuli 2015, sasa mnajua cha kufanya” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amesema kuwa Mkoa wa DSM ndio Mkoa ambao haujampa kura za kutosha Rais Magufuli wakati wa Uchaguzi mwaka 2015, lakini ni Mkoa ambao Rais Magufuli ameupa kila kitu, ameyazungumza hayo baada ya kwenda kukagua Mradi wa Daraja jipya linalounganisha Posta na Coco Beach.

ULIPOFIKA UJENZI WA DARAJA LINALOPITA JUU YA MAJI DAR ES SALAAM

Soma na hizi

Tupia Comments