Top Stories

“Saka kushoto na kulia, kata mikono yote, piga bangili” RC Mwanri (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Pamba Igembensabo Wilayani Igunga ameagiza kukamatwa kwa wahusika wote waliotafuna zaidi ya Milioni 28 kutoka Vyama vya Ushirika 29 vya Mkoa wa Tabora.

“Hatukubali watu wanaingia katika Vyama vyetu vya msingi wakafanya makosa yaleyale tutakata mikono yote miwili na wale walioondolewa wafuatwe huko waliko saka kushoto, kulia na katikati piga bangili sukuma ndani na hakuna cha kutoa huruma, hatuwezi tukaanza ushirika kwa misingi ya kule nyuma” RC Mwanri

LIVE: MAGUFULI AKERWA “MZEE WA AJABU WEWE UKAOMBEWE SHIKA SWEKA NDANI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments