Top Stories

Wafanyakazi wamkimbia Bos wao, Bashe na Mwanri wakimbana (+video)

on

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amefanya ziara ya kushtukiza katika kiwanda cha nyuzi TaboraTABOTEX ambapo katika ziara hiyo amekuta kiwanda hicho kikiwa hakina wafanyakazi, uzalishaji duni wa nyuzi na katika maelezo aliyopokea kutoka kwa Uongozi wa kiwanda ni mwekezaji huyo kutokuwa na uhakika wa kuendeleza kiwanda hicho.

WAKULIMA KUJAZA FOMU ZA MAZAO “TUNAWEKA TAKWIMU SAHIHI”

Soma na hizi

Tupia Comments