Top Stories

Kutana na ATM ya NBC inayopokea pesa, huduma za bure, dakika 5 fungua akaunti (+video)

on

Benki ya NBC imekuja na huduma mpya na ya kisasa ambapo mteja anaweza kufungua na kumiliki akaunti katika Benki hiyo ndani ya Dakika 5 ‘Fast Account’ endapo ukiwa na kitambulisho kinachoaminika.

Pia ukifika katika Banda la NBC Sabasaba utakutana na mashine za ATM zinazopokea fedha.

MAGUFULI ALIVYOSIMAMISHA DALADALA, ABIRIA WAFUNGUKA MIMI NI CHADEMA ILA NIMEFURAHI

Soma na hizi

Tupia Comments