Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Askari wanne mna bunduki, Mtu ana fimbo anawapiga mnakimbia ni aibu”

on

Kufuatia kuuawa kwa Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini TAWA Mkoani Tabora baada ya kupigwa na Wafugaji Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constentin Kanyasu amewataka Askari wote wanaohusika na utunzaji wa hifadhi nchini kuhakikisha wanatumia mafunzo yao kikamilifu ili kuepusha matukio ya mauji kwa askari.

UKIMPA MIMBA MWANAFUNZI KIBAHA, UTAKUMBANA NA HII ADHABU

Soma na hizi

Tupia Comments