Michezo

Mashabiki watamani Rais Magufuli angekuwa Refa ili sheria zifuatwe (+video)

on

Baada ya game ya Coastal Union na Yanga kumalizika AyoTV na millardayo.com imezungumza na mashabiki wa Coastal Union ambapo wamesema kama refa angekuwa Rais Magufuli ndio sheria zitafuatwa lakini kama watabaki marefa hawa waliokuwepo basi Tanzania haitaendelea mpaka kisoka.

ZAHERA “TFF, BODI YA LIGI NA MAREFA NI BOMU KABISA, CONGO HAKUNA MAUZAUZA”

Soma na hizi

Tupia Comments