Michezo

Masau Bwire “Timu ya kina Alikiba wapo tayari kupapaswa na wapapasaji tumefika” (+video)

on

Afisa Habari wa Timu ya Ruvu Shooting amesema kikosi chake kipo tayari kuwakabili vijana wa Coastal Union na kuhakikisha wana pata pointi tatu muhimu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara.

Bwire amesema tayari wameshajiandaa na mfumo wao wa ‘papasa square‘ hivyo Coastal Union wajiandae kwa ajili ya kupapaswa hapo keso katika Uwanja wa Mkwakwani.

WANANCHI AMBAO HAWAJACHANGIA MADARASA KUKAMATWA ARUSHA

Soma na hizi

Tupia Comments