Michezo

Manara amvaa Zahera “hana heshima, Mimi na Masau Bwire tukiongea tunafungiwa” (+video)

on

Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC Haji Manara ameliomba Shirikisho la Soka nchini TFF kumchukulia hatua za kinidhamu Kocha wa Yanga kutokana na baadhi ya kauli zake za kulishutumu Shirikisho hilo na Klabu ya Simba kuwa chanzo cha matokeo mabaya ya Klabu yake.

ZAIDI YA MAAJABU: JAMAA AONYESHA ANAVYOANDAA NA KULA CHUPA KAMA CHIPS KWA MIAKA 30

Soma na hizi

Tupia Comments