Top Stories

EXCLUSIVE: DC Gondwe afunguka “Siku nateuliwa nilishakula hela za U-MC, Eminem anatukana”

on

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe amesema wakati Raisi Magufuli anatangaza uteuzi wake kuwa Mkuu wa Wilaya yeye alikuwa Kanisani na alikuwa ni Mzee wa Kanisa wa zamu hivyo taarifa alichelewa kuzipata na alizipata majira ya jioni kabisa.

DC Gondwe ameongeza kuwa kwakuwa yeye alikuwa MC wa sherehe mbalimbali hivyo wakati anateuliwa alikuwa amekula pesa za awali yaani (Advance) zaidi ya Milioni tano hivyo alitumia mishahara ya miezi mitano ya Ukuu wa Wilaya kulipa madeni.

MUSUKUMA AMVAA LISSU ISHU KUTAKA URAIS, USHOGA “ANA DAWA ZA USINGIZI KICHWANI”

Soma na hizi

Tupia Comments