Top Stories

Mwinyi akiri “ukiondoa Nyerere sisi wengine wote Magufulu ametuzidi kasi” (+video)

on

Mzee Mwinyi amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kwa juhudi kubwa anazozifanya kuleta maendeleo kwa muda mfupi.

Amebainisha kuwa ukiondoa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere viongozi wengine waliofuata akiwemo yeye wamefanya juhudi za kuipeleka nchi mbele lakini kasi ya Rais Magufuli ni kubwa zaidi.

MWINYI AUSHUKIA WARAKA KINANA NA MAKAMBA APONGEZA WAZEE KUUPOTEZEA “MAMBO YA KITOTO

MSTAAFU MWINYI AFUNGUKA PICHA ALIYOIPOST MAKAMBA “KWA KWELI SIKUIPENDA”

Soma na hizi

Tupia Comments