Michezo

MO Dewji aibuka na jipya juu ya kujiuzulu Simba “nawapongeza Mtibwa” (+video)

on

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kilichotokea jana kwenye account yake ni bahati mbaya na wanajipanga kwa ajili ya Ligi na atabaki kuwa Simba, pia kaipongeza timu ya Mtibwa kwa kuchukua kombe.

“Kilichotokea jana kwenye account yangu ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi katika Ligi tukiwa imara, tujipange kwa ajili ya Ligi nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua Kombe, Mimi ni Simba damu damu nitabaki kuwa Simba #SimbaNguvuMoja”

ASKARI SHUJAA “ALIEJITOA MUHANGA” KUZAMA KWENYE MATANKI MOTO UKIWAKA “AMEJITOA MAISHA YAKE”

Soma na hizi

Tupia Comments