Habari za Mastaa

Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio)

on

Mwimbaji wa hit single ya ‘basi nenda‘ ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya ‘skendoMo Music, anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa Mahakamani kwa kisa kilichoanzia kwa Mwanamke, kesi yake imetajwa December 21 2015.

Alikua ni mpenzi wake wa zamani, toka wameachana ni zaidi ya miezi nane imepita na Mwanamke huyo alikwenda kwa Mwanaume mwingine na kuchukua mamilioni ya pesa alafu mwishoni Mo Music amekuja kutajwa kuhusika na upoteaji wa hizo pesa, stori zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments