Michezo

Headlines 10 za magazeti ya Ulaya, kabla ya Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea …

on

Ikiwa ni siku tano zimepita toka uongozi wa bodi ya Chelsea utangaze kumfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 10 za magazeti ya Ulaya kabla ya Chelsea kuamua maamuzi ya kumfukuza kazi Jose Mourinho. Hii pia inatajwa kama dalili ya kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal kufukuzwa. Kwani ni kweli magazeti yalimtabiria Mourinho kufutwa kazi ila sasa anaandikwa sana Louis van Gaal kuhusu kutimuliwa na Man United.

Jose-Paper

Hili ni gazeti la Sport Star toleo la 25/10/2015 yaani limetoka zaidi ya siku 40 kabla ya Chelsea kutangaza kumfuta kazi Mourinho.

mail-on-sunday-01112015_t5dw2bg6n78a18hvm669zy9n9

Baada ya headlines nyingi kuenea mitandaoni kuhusu kufukuzwa Jose Mourinho alikaririwa na gazeti la The Mail Sport kuwa hawezi kufukuzwa.

86341589_mirror

Gazeti la Mirror Sport liliandika 28 October 2015 kuwa wachezaji wa Chelsea wanaamini utawala wa Jose Mourinho umeisha hii ilikuwa zaidi ya mwezi kabla ya kufukuzwa.

tumblr_nwwizfVJCg1u5f06vo1_1280

Hili ni gazeti la Mirror Sport toleo la 28 October 2015 liliandika kuwa Ancelotti anataka kurudi Chelsea ila kwa mkataba wa kudumu na sio wa muda.

mourinho-mail

Hili liliandika kuwa Jose Mourinho yupo salama ila kama hatopoteza mchezo wa Jumamosi

tumblr_nxgukdyZ1B1u5f06vo1_1280

The Mail Sport liliandika baada ya Chelsea kupokea kipigo cha saba.

_87231832_sun

_86562285_dailystarbackpage

Hii iliandikwa November 7 2015 siku 40 kabla ya Chelsea kutangaza kumfukuza Jose Mourinho

_86562345_sun_back_page

The Sun Sport toleo la November 7 2015

_87333192_cc64100b-94a4-4512-935c-4225afa3bd61

Hili ni toleo la leo December 22 ambalo linamuhusisha Jose Mourinho kujiunga na Man United

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments