Michezo

PICHA 17: Washindi wa MO Simba Awards 2018

on

Mshindi wa zabuni wa club ya Simba SC Mohamed Dewji usiku wa June 11 2018 aliamua kutoa tuzo za MO Simba Awards 2018 kwa wote waliofanya vizuri kwa Simba msimu wa 2017/2018 ikiwemo wachezaji, viongozi na mashabiki.
1. GOLIKIPA BORA WA MWAKA
A. Aishi Manula – WINNER
B. Said Mohamed ‘Nduda’
C. Emmanuel Elias Mseja
2. BEKI BORA WA MWAKA
A. Yusuph Mlipili
B. Erasto Nyoni – WINNER
C. Shomari Kapombe
3. KIUNGO BORA WA MWAKA
A. Jonas Mkude
B. James Kotei
C. Shiza Kichuya – WINNER
4. MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKA
A. Emmanuel Okwi – WINNER
B. John Bocco
C. Shiza Kichuya
5. MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKA
A. Rukhia Salum
B. Zainabu Rashidi Pazzi – WINNER
C. Dotto Makunja
6. MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKA
A. Ally Salim (GK)
B. Rashid Juma – WINNER
C. Salumu Shabani
7. GOLI BORA LA MWAKA
– John Bocco (Simba VS Mwadui)
8. TUZO YA BENCHI LA UFUNDI
A. Pierre Lechantre – Kocha Mkuu
B. Masoud Djuma – Kocha Msaidizi
C. Mohamed Aymen – Kocha wa Viungo
D. Muharam Mohamed – Kipa wa Makipa
E. Richard Robert – Meneja wa Timu
F. Yassin Gembe – Daktari wa Timu
G. Abbas Selemani – Mratibu
9. SHABIKI BORA WA MWAKA
– Fihi Salehe Kambi
10. MHAMASISHAJI BORA WA MWAKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
A. Hamis Mwinjuma (Mwana FA) – WINNER
B. Salama Jabir – WINNER
C. Zitto Kabwe
D. Vyonne Cherrie (Monalisa)
E. Omary Nyembo (Ommy Dimpoz)
11. MHAMASISHAJI BORA
Haji Manara
12. TAWI BORA LA MWAKA
A. Wazo Hill
B. Ubungo Terminal – WINNER
C. Vuvuzela
13. KIONGOZI BORA WA MWAKA
– Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah Muhene
14. TUZO YA WASIMAMIZI WA MCHAKATO WA MABADILIKO
A. Jaji Mstaafu Thomasi Mihayo
B. Wakili Damasi Ndumbaro
C. Abdulrazak Badru 
D. Mussa Hassan Zungu
E. Yusuph Nassoro
F. Brenda Mrema
G. Mzee Hamis Boma
H. Revocatus Cosmas Sangu
I. Hashim Nyendage
J. Gervas Alpha Honest
K. Emmanuel Metusela Urembo
L. Mulamu Nghambi
M. Selemani Omari
N. Aziz Kifile
O. Salim Abdallah Muhene
P. Arnold Kashembe
Q. Omari Bakari Mtika
R. Evodius Mtawala
15. TUZO YA HESHIMA (LIFETIME ACHIEVEMENT)
Selemani Matola – WINNER
16. MCHEZAJI BORA WA MWAKA
A. Emmanuel Okwi
B. John Bocco – WINNER
C. Shiza Kichuya

 

VIDEO: Alichozungumza MO Dewji kabla ya kutoa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments