Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Vitu sita alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Simba SC
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Vitu sita alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Simba SC
Sports

Vitu sita alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Simba SC

July 29, 2016
Share
3 Min Read
SHARE

Jina la mkurugenzi mtendaji na Rais wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) ambaye pia ni bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ‘MO’ linazidi kuiingia kwenye headlines kila kukicha kutokana na biashara zake na kutoa ajira kwa watu zaidi ya 20,000, leo July 29 MO amezungumzia mpango wake kuinunua Simba.

Mohammed Dewji ameweka wazi mambo 6 kuhusiana na mpango wake wa kutaka kununua hisa asilimia 51 za Simba na faida watakayopata wanachama wa Simba baada ya Mohammed Dewji kuinunua klabu hiyo. Naomba nikusogezee mambo 6 aliyoyaongea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kutaka kuinunua Simba.

1- Sababu za Simba kutofanya vizuri ni kutokana na bajeti, mfano Yanga bajeti yao inaweza kufikia bilioni 2.5 sawa labda na Azam FC wakati bajeti ya Simba inaweza kuwa nusu ya bajeti za washindani wake.

2- Simba kwa sasa haihitaji mdhamini ili kuweza kujiendesha au kutegemea kwa maana mpira unahitaji pesa sio mdhamini atakayetoa milioni 400 au chini ya hapo.

3- Wanachama wa Simba wa muda mrefu watapewa hisa bure na sio kujivunia kadi ya uanachama isiyoingiza kitu chochote, utakuwa na uwezo wa kuuza hisa zako au kununua nyingine kama utahitaji.

4- Simba kwa sasa inatakiwa iwe mbali ya hapo ilipo kwani sasa inatimiza miaka 80 toka ianzishwe kwake mwaka 1936, lakini haina hata uwanja wa mazoezi tumezidiwa hata na Azam FC wameanza juzi.

5- Nilijitoa African Lyon ni baada ya kwenda uwanjani na kuona timu haina mashabiki mpira unahitaji mashabiki, hata Simba kama isingekuwa na mashabiki nisingeingia mpira unahitaji mashabiki, kuhusu Singida United niliidhamini ikaingia Ligi Kuu zikaanza siasa nikaamua kujitoa.

6- Mimi dhamira yangu sio kupata pesa kutoka Simba nashukuru mungu amenijalia sana nina biashara zaidi 100 tumeajiri watu 28000 na tutaendelea kuajiri zaidi, dhamira yangu kuona Simba inasonga mbele zaidi.

#MillardAyoUPDATES Bilionea Mohamed Dewji akiongea mipango yake ya kutaka kuinunua Simba SC na faida atakazopata mwanachama wa Simba badala ya kujivua kadi tu isiyokuwa na faida yoyote kwake. @moodewji @moodewji

A video posted by millard ayo (@millardayo) on Jul 29, 2016 at 12:46am PDT

ALL GOALS: YANGA VS MEDEAMA SC JULY 16 2016, FULL TIME 1-1

You Might Also Like

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

Picha: GSM waleta bidhaa mpya, Mashuka, Durvet kwa kipindi cha Baridi, tazama

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA July 29, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania leo July 29 2016
Next Article PICHA 15: Magari 15 ya thamani anayoyamiliki Floyd Mayweather
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?