Habari za Mastaa

Baada ya MTVMama hii ni Tuzo nyingine aliyoshinda Wizkid

on

Baada ya kuongoza list ya washindi wa tuzo za MTVMAMA 2016 zilizotolewa October 22, 2016 jijini Johanesburg Afrika Kusini, Super Star Wizkid ametangazwa kushinda tuzo nyingine iliyotolewa na MOBO Awards 2016 kwenye kipengele cha ‘Msanii Bora wa Afrika’.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Twitter Account ya watoaji tuzo hizo MOBO Awards, walipost ushindi mwingine wa Star Boy Wizkid.

ULIPITWA NA HII YA RAPA NAY WA MITEGO KUHUSU SHAMSA FORD KUOLEWA? ITAZAME HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments