Ad
Ad

Michezo

Duu!! mwanamitindo katimiza ahadi yake ya kuvua nguo baada ya Palmeiras kutwaa Ubingwa …(+Pichaz)

on

Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashangaza kidogo, tumewahi kusikia Mrisho Ngassa akiahidi kama atashindwa kufunga goli katika mechi Yanga dhidi ya Simba atachoma moto nyumba zake tano ahadi ambayo alifanikiwa kuitimiza kwa kufunga goli.

mg_4491

Cintia Vallentim

Ila kwa mashabiki wa kike wa Brazil wameingia katika headlines hii mtu wangu, wiki iliyopita mwigizaji wa Brazil Maite Proenca mwenye miaka 57 aliahidi kama timu yake ya Botafogo itashinda na kufuzu kucheza Ligi daraja la kwanza Brazil atavua nguo, December 8 ni headlines za mwanamitindo wa kibrazil Cintia Vallentim mbaye nae aliahidi ahadi kama hiyo kama timu yake ya Palmeiras itatwaa Ubingwa wa Brazil.

mg_4341

Cintia Vallentim ametimiza ahadi hiyo ya kupiga picha akiwa mtupu baada ya timu yake ya Palmeiras kuifunga Santos kwa mikwaju ya penati na kushinda Kombe la Brazil. Tukio hili linakuja ikiwa ni wiki moja imepita toka muigizaji Maite Proenca kufanya kama hivyo ila yeye ni baada ya Botafogo kushinda na kupanda daraja la kwanza.

maite_1

Maite Proenca

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments