Michezo

Mohamed Salman hatihati kuinunua Newcastle

on

Hivi karibuni kumekuwa na jina kubwa la bilionea wa Saudi Arabia Mohamed Bin Salman kuwa yupo kwenye hatua za mwisho kuinunua club ya Newcastle United.

Baada ya awali kuripotiwa kuafikiana dau la pound milioni 300 la kuuziana club hiyo kutoka kwa mmiliki, leo imeripotiwa kuwa Bin Salman ameanza kupata vikwazo na anaweza kushindwa kuinunua club hiyo.

Taasisi ya WTO (World Trade Organizations) imeripotiwa kuwa May 11 iliwasilisha nyaraka yenye kurasa 123 ambayo inatajwa kuwa itawekwa hadharani June 16 ikieleza kupinga kwa Prince Mohamed Bin Salman kutouziwa timu hiyo sababu ya Saudi Arabia kuwa katika list ya nchi zinazoongoza kuonesha mechi za EPL kinyume na sheria (illegal).

Soma na hizi

Tupia Comments