Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Sports

Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’

March 23, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Nahodha Msaidizi wa Club ya Simba Mohammed Hussein amesema maongezi waliyoyafanya na Kocha mpya wa Taifa Stars (andika Jina lake) akiwa na Shomari Kapombe baada ya mechi ya Simba dhidi ya Horoya yatabaki kuwa siri yake.

Mohammed ameyasema haya akijibu swali la Mwandishi wa Ayo TV aliyetaka kufahamu walichoongea na Kocha huyo baada ya kusambaa kwa picha ya kikao chao hicho —- > “Yule ni Mwalimu na anapokuwa kuwa ni Mwalimu ni zaidi ya Mzazi, tuliyozungumza yanabaki kuwa siri yangu”

Kuhusu kuachwa kwenye Timu ya Taifa, Mohammed amejibu,…“Ile ni National Team Mtu akiitwa ni kwa ajili ya kwenda kupambania Taifa, waliokuwepo wanapambania Taifa, Mimi ni Mtanzania kama muda wangu utakuwepo na nami nitapambania, nipo nyuma yao wapo vitani nawa-support”

Shomari Kapombe na Mohammed Hussein ni miongoni mwa Wachezaji ambao hawajaitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kitachocheza na Uganda siku ya kesho kuwania kucheza AFCON.

 

 

You Might Also Like

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Pep Guardiola awaonya Manchester City dhidi ya mchezo wao jumamosi hii

FA CUP: Haaland hana hofu kwa Man Utd, – Varane

Mashabiki wa soka nchini china kulipa zaidi ya Million 1 kumuona Messi

Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

Edwin TZA March 23, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’
Next Article Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?