Unamkumbuka staa Chris Hemsworth aliyewahi kujichukulia umaarufu kwenye movie kadhaa ikiwemo ya Thor: The Dark World, In the Heart of the Sea, The Avengers sasa time hii staa huyo kashiriki pia kwenye movie mpya iitwayo ‘The Huntsman : Winter’s War ambayo itaanza kuoneshwa rasmi leo April 22 2016 kwenye theater mbalimbali, tazama hii Trailer hapa.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
KAMA ULIMISS ALICHOKIZUNGUMZA DUDE KUHUSU BONGO DAR ES SALAAM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA