Top Stories

Charles Mwijage kafunguka baada ya kutoka nduki Bungeni (+video)

on

Baada ya jana February 5, 2019 Bunge kuahirishwa kwa muda mara baada ya kutokea taharuki kufuatia alarm ya tahadhari kulia wakati kikao kikiendelea, miongoni mwa watu waliochukua headline ni pamoja na Mbunge wa Muleba Kaskazini Charles Mwijage alipoonekana akikimbia kwa kasi kutoka nje leo akiwa nje ya Bunge ametolea ufafanuzi wa kile kilichotokea.

MASAU BWIRE: “TIMU YA KINA ALIKIBA WAPO TAYARI KUPAPASWA NA WAPAPASAJI TUMEFIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments