AyoTV

VIDEO: Kasi ya Rais Magufuli ilivyomgusa mkuu wa Wilaya Kinondoni

on

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameendelea kuonyesha jitihada za kuhamasisha huduma ya elimu bora kwa kila Mtanzania iliyoanzishwa na Rais Magufuli, hapa nakukutanisha na video ya baadhi ya wadau walivyoungana naye katika harakati hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments