AyoTV

“Kwenye msafara wa Mamba na Kenge hawakosekani” – BATULI

on

Waigizaji waliokua wakihusika na project ya ‘Mama Ongea na Mwanao‘ kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania 2015, wamejitokeza na kusema hakuna Msanii ambaye hakulipwa kwenye kampeni hizo ambazo mwigizaji Wema Sepetu amesema hawakulipwa.

Ukitaka kujionea wenyewe walivyozungumza bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama…

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, hii video hapa chini ina kila kitu

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi, aongelea sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu, bonyeza play kutazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments