Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mo Music amewataja wakali wake wawili kwa Chorus T’zania ..

on

.

.

Inawezekana ikawa si mara yako ya kwanza kumsikia msanii kufunguka kumkubali msanii mwenzake kwa kazi anayoifanya, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Mo Music ambaye Leo Feb 11 ame amplify kuhusu wasanii wawili kutokea Tanzania anaowakubali katika upande wa Chorus.

Akiongea na AMPLIFAYA alisema; ‘Mkali wa Chorus mimi ninao wawili, wa kwanza ni Becka Tittle,  wa pili ni G Nako, G nako tumefahamia lakini kikubwa kuna project ambayo nilikuwa nataka kufanya na Becka Tittle na pia kitu kikubwa kingine mtu ambaye anani admire sana tuna project naye nafikiri ndio tupo kwenye kuifanya ni Mr Blue‘ Alisema.

Unaweza uka bonyeza play kusikiliza

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

 

Tupia Comments