Habari za Mastaa

Ule wizi wa vifaa vya magari umerudi tena,huyu ndiye producer wa Bongo aliyeibiwa hivi karibuni.

on

Image00008Matukio ya wizi wa vifaa mbalimbali vya magari kwa mastar wa Tanzania ulikua ukichukua headline sana kupitia vyombo mbalimbali vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita kisha kukawa kimya.

Baadhi ya mastar waliyowahi kuibiwa ni pamoja na Ney wa Mitego,Ommy Dimpoz,juzi tulisikia Aneth Kushaba muimbaji wa Skylight band kuibiwa gari zima,lakini hapa yupo Mona Gangstar.

gud

Mona Gangstar ni producer wa Classic Sound ambaye ameshiriki kwa kiasi kikubwa kumsimamisha Belle Nine na pia ni Meneja wa Msanii Young Killer,hii ni gari yake ambayo ni Toyota IST iliyoibiwa vifaa siku chache zilizopita.

Image00011

Image00010

Image00009

Image00007

Image00002

Image00003

Image00004

Image00005

Image00006

Tupia Comments