Habari za Mastaa

Monalisa kawatolea uvivu insta baada ya mwanae kuanza Muziki

on

NI Msanii kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania, Monalisa ambae amefunguka kuhusu Mwanae Sonia kuanza muziki.

Akizungumza na Ayo TV msanii huyo alisema..’Sonia amezaliwa kwenye maisha ya kujulikana Baba yake alikuwa anajulikana na mimi mama yake nilikuwa najulikana kwahiyo sio kitu cha kushangaa, ndio maana nikasema yeye hajaanza kuimba muziki leo  kwahiyo ni mwanangu namlea navyotaka’- Mwigizaji Monalisa

TAZAMA POLISI WAKIWAPIGIA MAGOTI RAIA WALIOANDAMANA NA KUFANYA VURUGU ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments