Habari za Mastaa

French Montana anataka hii nyingine ikufikie, ‘Moses’ feat. Chris Brown & Migos – (Video)!

on

Baada ya kuachia mixtape na Fetty Wap, msanii wa muziki wa HipHop Marekani, French Montana amerudi kuzikamata headlines za leo kwenye kurasa za burudani.

Kutoka kwenye mixtape yake ya mwezi May 2015, Casino Life 2:Brown Bag Legend, French Montana anaisogeza kwetu video ya wimbo wa ‘Moses’ ndani akiwa na Chris Brown pamoja na Migos… Album mpya ya Montana iliyopewa jina Mac & Cheese: The Album inategemea kuwa sokoni mwishoni wa mwaka 2015.

MONTANA3

Kama bado hujafanikiwa kukutana na video ya French Montana, basi karibu uitazame video hiyo hapa chini mtu wangu.

https://youtu.be/K6UOipdkm5w

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments