Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Montpellier waipiga 2-1 Cambiasso Academy, wanaisubiria Simba SC
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Montpellier waipiga 2-1 Cambiasso Academy, wanaisubiria Simba SC
Sports

Montpellier waipiga 2-1 Cambiasso Academy, wanaisubiria Simba SC

July 22, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

abingwa wa Ufaransa U-19 club ya Montpellier leo wamecheza mchezo wao wa kwanza wa mashindano maalum wa Cambiasso Tournament U-20 dhidi ya wenyeji Cambiasso Academy na kuwafunga 2-1.

Cambiasso ndio walianza kupata goli dakika ya 42 na Ally Salum na baadae Montpellier wakasawazisha dakika ya 68 kupitia kwa Langahez 68 na bao la ushindi likafungwa dakika ya 81 na Redouane na kuzima furaha ya watanzania waliokuwa wamejitokeza kuishangilia Cambiasso Academy.

Baada ya mchezo huo Montpellier watacheza mchezo ujao dhidi ya Simba U-20 wakihitaji sare tu kutinga kucheza robo fainali.

You Might Also Like

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Rama Mwelondo TZA July 22, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Tamasha la Utamaduni liwe chachu ya maendeleo” Naibu Wazirj
Next Article Waziri wa Afya aungana na wasanii kutoa elimu ya chanjo ya UVIKO-19
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?