Habari za Mastaa

AudioMPYA: Mo Music katuletea hii single yake mpya ‘Ado Ado’

on

Hit maker wa single ya Nitazoea kutoka 88.1 Mwanza Mo Music ameachia single yake mpya iitwayo Ado Ado iliyotayarishwa na D-Classic katika studio za High Table Sound inayomilikiwa na Barnaba.

Unaweza ukabonyeza HAPA  kisha sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA MO MUSIC KUHUSU UONGOZI WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments