Burudani

Morgan Heritage waanzisha label, watangaza msanii wa kwanz a

on

Msanii Fayross ni msanii wa kwanza kwa kuangukia dili kubwa ambayo itakuwa chini ya uongozi wa Label ya CTBC inayomilikiwa na Morgan Heritage iliyoungana na Sony Music katika usambazaji wa Mziki ki digitali.

Hii ina maana kuwa wasanii wa Kiafrika wataanza kunufaika vikubwa kwa dili kama hii, hapa nchini Tanzania tuna wasanii wengi ambao wanafanya vizuri na kama wakipata dili hilo basi watafika mbali zaidi wasanii hao.

Morgan Heritage kupitia kwa msemeji wao  Mojo ambaye pia ni mmoja wao, amebainisha kuwa atafanya kazi na wasanii wanaochipuka na waliona ubora wa kikazi katika sekta ya uimbaji na wala sio lazima wawe ni wasanii wanaofanya Reggae Pekee.

 

Soma na hizi

Tupia Comments