Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Morocco yamkatalia rais wa Ufaransa Macron kuingia nchini humo
Share
Notification Show More
Latest News
Rafiki wa Victor Osimhen afichua kuwa mshambuliaji huyo anatafuta kuondoka Napoli ‘haraka iwezekanavyo’ …
September 27, 2023
Mwanajeshi wa zamani wa Liberia awekwa kizuizini kabla ya kesi nchini Ufaransa
September 27, 2023
Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027
September 27, 2023
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
September 27, 2023
Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Morocco yamkatalia rais wa Ufaransa Macron kuingia nchini humo
Top Stories

Morocco yamkatalia rais wa Ufaransa Macron kuingia nchini humo

September 19, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Morocco imekanusha habari ya safari ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuelekea mjini Rabat na kusema kuwa hakuna mpango wa kufanyika safari hiyo.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, Morocco ilitupilia mbali madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron atafanya ziara ya kuitembelea Morocco.

Afisa mmoja wa serikali ya Morocco ameliambia shirika la habari la nchi hiyo kwamba hakuna kibali kilichotolewa kwa Macron kusafiri kuelekea nchini humo.

Afisa huyu wa serikali ya Rabat ameongezea kwa kusema: “Ninashangaa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kutoa madai hayo ya upande mmoja na kujipa ruhusa ya kutoa tamko kama hilo.”

Siku chache zilizopita, Caterina Colonna, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, alidai kuwa Rais Macron ataizuru Morocco hivi karibuni kwa mwaliko wa Mfalme wa nchi hiyo Mohammed wa VI.

Katika maelezo yake hayo, Colonna alikiri pia kuwepo mvutano kati ya Paris na Rabat.

Hivi karibuni, Morocco ilikataa hata kupokea msaada wa serikai ya Paris katika operesheni ya uokoaji ya tetemeko la ardhi na baada ya kukataliwa misaada hiyo ya Ufaransa na serikali ya Morocco, Macron alitoa video ya dakika mbili kwa Kifaransa ya kuwafariji watu wa Morocco.

Duru za kuaminika ziliripoti kuwa Mfalme wa Morocco hakujibu simu aliyopigiwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya tetemeko kubwa la ardhi lililotokea hivi karibuni nchini humo.

You Might Also Like

Mwanajeshi wa zamani wa Liberia awekwa kizuizini kabla ya kesi nchini Ufaransa

Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

Urusi inashutumu Marekani na Uingereza kwa kusaidia kupanga mashambulizi kwenye meli za Bahari Nyeusi

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7

Geena TZA September 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kenya: Mchungaji wa Shakahola na wenzake kusalia rumande kwa siku 30 zaidi
Next Article Libya: Kampeni ya chanjo yazinduliwa huko Derna iliyokumbwa na mafuriko
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rafiki wa Victor Osimhen afichua kuwa mshambuliaji huyo anatafuta kuondoka Napoli ‘haraka iwezekanavyo’ …
Sports September 27, 2023
Mwanajeshi wa zamani wa Liberia awekwa kizuizini kabla ya kesi nchini Ufaransa
Top Stories September 27, 2023
Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027
Sports September 27, 2023
Bosi wa kampuni ya Sabuni aamua kula bidhaa yake kuthibitisha kuwa ni za asili
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Sports

Rafiki wa Victor Osimhen afichua kuwa mshambuliaji huyo anatafuta kuondoka Napoli ‘haraka iwezekanavyo’ …

September 27, 2023
Top Stories

Mwanajeshi wa zamani wa Liberia awekwa kizuizini kabla ya kesi nchini Ufaransa

September 27, 2023
Sports

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027

September 27, 2023
Top Stories

Mazungumzo ya Poland na Ukraine yanaendelea baada ya kupiga marufuku uagizaji wa nafaka

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?