Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Share
Notification Show More
Latest News
CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike
September 27, 2023
Wanajeshi wamuua kamanda maarufu wa Boko Haram
September 27, 2023
Maelfu ya watu wameandamana kuunga mkono utawala wa kijeshi Burkina Faso
September 27, 2023
Osimhen afuta picha zote za Napoli kwenye Instagram yake
September 27, 2023
Pochettino aeleza kwanini nyota wa Chelsea ametemwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Kushirikiana na Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu na Manispaa ya Morogoro wamefanya usafi katika chanzo cha maji Vituli kata ya Bingwa Manispaa ya Morogoro na kubaini kuwepo kwa baadhi ya watu kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya mita sitini kutoka chanzo cha maji na Mto mgolole

Hali hiyo imebainika baada ya Mamlaka hizo kufika katika mto huo kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuacha kutopa taka za plastiki katika vyanzo vya maji na kukuta baadhi yao wakifanya uharibifu huo ambapo afisa maendeleo ya jamii Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu Yuliani Mizola anatumia nafasi hiyo kutoa elimu kwa wananchi kutojenga vyoo karibu na chanzo cha mto kwani kunaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa ikiwemo Kipindupindu.

Kwa upande wake msimazi wa mazingira MORUWASA Mhandisi Rashid Bumalwa wamesema kutokana na uchafunzi huo wamekua wakitumia gharama kubwa kutibu maji.

.

Amesema kama.mamlaka inawakumbusha wananchi kuendelea kutunza na kuhifadhi vyanzo vya maji ili kuepukana na changamoto ya ukosefu wa maji pindi vyanzo hivyo vitakavyokauka.

Naye afisa mazingira Manispaa ya Morogoro Fatma Juma amesema licha ya kufanya usafi katika vyanzo vya maji lakini wamekua wakitoa elimu kwa wananchi kufanya usafi hadi katika makazi yao hivyo mpango kutoa elimu zaidi kwa wakazi wanaoishi karibu na yanzo vya maji ili kuona umuhimu wa vyanzo hivyo.

.

Amesema sheria ya Mazingira inakataza kufanya shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo,ufugaji,uchimbaji madini na ujenzi wa nyumba ndani ya mita sitini kutoka kwenye chanzo cha maji.

.
.

You Might Also Like

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

Wanajeshi wamuua kamanda maarufu wa Boko Haram

Maelfu ya watu wameandamana kuunga mkono utawala wa kijeshi Burkina Faso

Pochettino aeleza kwanini nyota wa Chelsea ametemwa

Dc Jokate awataka wasimamizi wa miradi kufuata miongozi ya TAMISEMI katika ujenzi wa miradi.

Edwin TZA June 3, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Next Article Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike
Top Stories September 27, 2023
Wanajeshi wamuua kamanda maarufu wa Boko Haram
Top Stories September 27, 2023
Maelfu ya watu wameandamana kuunga mkono utawala wa kijeshi Burkina Faso
Top Stories September 27, 2023
Osimhen afuta picha zote za Napoli kwenye Instagram yake
Sports September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

September 27, 2023
Top Stories

Maelfu ya watu wameandamana kuunga mkono utawala wa kijeshi Burkina Faso

September 27, 2023
Entertainment

Ninarudi Nigeria kuheshimu mwaliko wa polisi kuhusu Mohbad- Naira Marley

September 27, 2023
Top Stories

Dc Jokate awataka wasimamizi wa miradi kufuata miongozi ya TAMISEMI katika ujenzi wa miradi.

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?