Habari za Mastaa

Mose Iyobo kafunguka Uhusiano wake na Ruby “Tuko pamoja muda mrefu, Penzi jipya” (Video)

on

Ni baada ya Headlines za mtandaoni kudai Dancer wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo kutoka kimapenzi na msanii Ruby  sasa  leo ameamua kuyaweka wazi mbele ya waandishi ya habari.

“Kwenye upande wangu mimi na Ruby tuendelee tu kuwa na subira hii ni mwaka wa pili na dhumuni letu kwenye birthday yangu ndio niweke wazi, nimejuana nae muda tu sema ilikuwa ni siri sana si unajua yeye ni mwimbaji mimi ni mnenguaji”- Mose Iyobo

“Hii sio drama hapana na mimi siwezi kufanya drama na hapa nilipofikia kwasasa siwezi fanya drama na ningeomba tusiongelee mambo mengi kwani kwasasa nipo katika mahusiano mengine”- Mose Iyobo

VIDEO: TAZAMA MOSE IYOBO ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE NA WATOTO YATIMA

Tupia Comments