Top Stories

Moto wateketeza jengo la hospitali ya Mount Meru Arusha “walikuwepo madaktari 14”

on

Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umetekeketeza nyumba ambayo waliokuwa wanaishi madaktari katika hospitali ya Mount meru Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi amesema chanzo cha moto huo hakijajulikana hadi sasa lakini jeshi la zimamoto limefanya kazi kubwa ikiwemo kuudhibiti moto huo ambapo madaktari kumi na nne waliokuwa wanaishi eneo hilo wako salama

WATU WATINGA NYUMBANI KWA BILIONEA MPYA WAKITAKA PESA “NI BABA,TUNATAKA RIZIKI”

Soma na hizi

Tupia Comments