Top Stories

Moto wateketeza nyumba Dodoma, “dunia nzima gari la zimamoto haizimi moto” (+video)

on

Usiku wa saa nne July 17,2021 moto umeteketeza nyumba kwenye mtaa wa Airport mkoani Dodoma moto ambao kwa ukubwa wake Jeshi la Zimamoto lilifanikiwa kuuzima baada ya dakika 120.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhan Kailima amesema “tutatoa tathmini baadae chanzo cha moto ni nini, niwasihi Wananchi wasihifadhi vitu ambavyo ni hatari na ni hatarishi kwao, kuuzima moto huu gari moja lingetosha kama kusingekua na vilipuzi ndani”

Soma na hizi

Tupia Comments