Mix

Kuhusu Gari lililoungua moto jioni ya January 31.

By

on

IMG-20140131-WA0049Tukio la kuungua kwa gari hili limetokea barabara ya Nyerere jioni ya January 31 ambalo inahusisha hiyo Gari aina ya Coaster ambayo imewaka moto,chanzo cha moto huo bado hakijajulikana,millardayo.com inaendelea kufatilia kwa undani habari hii endelea kuwa karibu na millardayo.com kwa taarifa zaidi.

IMG-20140131-WA0050

IMG-20140131-WA0043

IMG-20140131-WA0047

IMG-20140131-WA0045

Tupia Comments