Ajali

Video: Kituo cha Mafuta kilichowaka moto Tegeta DSM

on

Leo March 7 2017 zimeripoyiwa taarifa za moto ulitokea kwenye kituo cha mafuta cha kilichopo Tegeta ambapo inaelezwa moto huo ulidumu kwa zaidi ya saa moja.

Ayo TV na millardayo.com ilipata nafasi ya kuongea na dereva wa lori liloungua kwenye kituo hicho cha mafuta  ambapo amesema chanzo cha moto huo ni nyaya za umeme zilizokanyagwa na kusanabisha moto.

Ulimiss haya Machache yakufahamu baada ya Suleiman Kova kutumiwa Picha Ajali ya Moto Tegeta itazame hii video hapa chini… 

Soma na hizi

Tupia Comments