Michezo

Mourinho aeleza sababu za kumfuata Dier akiwa Bathroom

on

Kocha wa Tottenham Hotspurs Jose Mourinho aeleza sababu za kumfuata mchezaji wake Eric Dier akiwa anajua kuwa katoka uwanjani katikati ya mchezo dakika ya 76 na kwenda bathroom sababu ya tumbo kumvuruga.

“Najua kuwa alipaswa kwenda (bathroom) lakini nilienda kujaribu kumpa presha ili afanye haraka arejee mchezoni katika dakika zilizosalia”>>>> Mourinho

Baada ya mchezo huo kumalizika na Tottenham kushinda kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 1-1, Eric Dier alipewa tuzo ya mchezaji bora wa mechi na baadae akapost tuzo ile ikiwa bathroom na kueleza Bathroom ndio inastahili kuwa Man Of The Match.

Soma na hizi

Tupia Comments