Michezo

Mourinho na Wenger hawapatani? angalia alivyoirusha medali yake baada ya kufungwa 1-0 (Video)

on

MOURINHO

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya klabu ya Arsenal mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Wembley Uingereza, Mourinho aliingia uwanjani akiwa na rekodi nzuri dhidi ya kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwani timu zao zimewahi kukutana mara 12 kabla ya mechi ya August 2 na rekodi inaonesha Wenger hajawahi kumfunga Mourinho hata mara moja.

Jose-595416

Mourinho kama kawaida yake kaingia kwenye headlines tena baada ya kuwapongeza wachezaji wa Arsenal wakati wanashuka kutoka kuchukua medali ila wakapishana na Wenger kitu kinachofanya watu wajiulize maswali, kwani hawapatani? baada ya hapo Mourinho wakati anatoka Uwanjani kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo aliirusha medali yake kwa mashabiki sasa haijulikani ni hasira au kaamua tu !!

mourinho

Hii hapa karibu yako, cheki kila kitu kilivyotokea mtu wa nguvu !!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments