Premier Bet
TMDA Ad

fB insta twitter

Kama ukipita mtaani leo FEB 12 kumbuka kucheki hii filamu mpya imeingia sokoni leo

on

IMG-20150207-WA0000-Copy-2

Kwa wale wapenzi wa movie za kibongo hii ni movie mpya ambayo imeingia rasmi sokoni leo February 12, unaambiwa ndani kuna mastaa kama Hemed Suleiman, Latifa Idabu, Haji Salum aka Mboto, Sadiki Manwila na Sabrina Omari.

Hii inazungumzia maisha ya Mtanzania wa kawaida, hasa kijana akiwa kwenye changamoto za maisha, kama umemis kucheka pia basi pitia hii, najua utaenjoy na ukali wa Mboto mwenyewe humu ndani mtu wangu.

IMG-20150207-WA0000 - CopyNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments