Habari za Mastaa

Kevin Hart anahusika kwenye movie za wiki hii, cheki ratiba nzima hapa.

on

about-last-night-jpgAbout last night movie ambayo inamuhusisha mchekeshaji maarufu hivi sasa Kevin Hart itaanza kuonyeshwa kwenye theater zote za hapa Tanzania.
Ratiba yote ya movie zitakazoonyeshwa kuanzia February 21 hadi February 27 kwenye theater za Dar na Arusha ipo hapa pia.

1911155_617096278362514_183631882_o
1798778_10152039803063842_1389877238_n
1619311_508021422651268_415415718_n
1012653_319831434819723_1063398451_n

Tupia Comments