Habari za Mastaa

Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailers

on

.

.

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu.

Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center.

All Is Well

The man from  U.N.C.L.E

Fantastic Four

Mission Impossible

Trainwreck

.

.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

 

Tupia Comments