Habari za Mastaa

Movie ya need for speed kuanza kuonyeshwa Dsm, ratiba ya nyingine iko hapa

on

coverWale fans wa video game ya Need for Speed mnaambiwa imekuja movie yake na kama ulipenda kuona magari yakiwa kwenye kasi ya ajabu kwenye movie za Fast and furious basi utaifurahia na hii pia.

Movie hii itaonyeshwa kwenye mfumo wa 3D so tegemea ku-enjoy zaidi ambapo itaanza kuonyeshwa Ijumaa hii tarehe 21/3/2014 kwenye theater mbalimbali na unaweza kutazama trailer yake hapa chini..

Ratiba ya nyingine kwenye majumba ya Cinema Dar es salaam iko hapa.

wiki

wiki2

cap

nutsUpdates za ratiba ya CinePlex  Quality Plaza na Cinemax Njiro zinakuja hapa hivi punde.

Tupia Comments