Habari za Mastaa

MOVIE:Jamaa kamtongoza Afisa Usalama Club bila kujua chochote, (mauaji kufanyika)

on

Najua nina watu wangu wanaopenda movie sasa time hii nakushauri  uende ama ukaitafute hii movie iitwayo Fatale ya mwaka 2020 ambayo inahusisha wakali akiwemo Mike Colter, Michael Ealy, Hilary Swank.

Fatale ni movie iliyojawa  Wivu, Mauaji,Visa, Tamaa ambapo Mkali Michael Brown maarufu Kama Michael Ealy anaonekana kumtamani mrembo Hilary Swank baada ya kukutana nae Club bila kujua kwamba ni Afisa Usalama.

Mwisho wa siku Michael Early atajutia nafsi yake kumtongoza mrembo huyo na kumdanganya kwamba hakuwa na familia ndipo sasa Afisa Usalama anaamua kumfanyia visa ikiwemo kumuuwa Mke wake na ndugu zake, unaweza ukatazama trailer hapa

PATRICK KANUMBA KAFUNGUKA MAHABA YAKE NA REGINA NDANI YA TAMTHILIA MPYA ‘PAZIA’

 

Soma na hizi

Tupia Comments