Habari za Mastaa

Kama una mpango wa kwenda kuangalia movie weekend hii, ratiba nzima ipo hapa.

on

dinoWapenzi wa movie za 3D wiki hii kuna movie kwa ajili yenu inaitwa “Walking with Dinosaurs” ambayo inaanza kuonyeshwa leo kwenye theater mbalimbali.

Angali hapa trailer yake pamoja na ratiba ya movie mbalimbali kwenye theater za Mlimani city,Quality Plaza na Oyster bay.

1174590_632613036799963_344365399_n
1545607_484447848341959_839466632_n
1522144_10151943798963842_535469818_n
1517491_10151943796603842_417620794_n
1491709_10151943797658842_2106814111_n

Tupia Comments