Habari za Mastaa

Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer

on

 

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu.

Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center

1.Goosebumps

 

2.Shaandaar

3.Black Mass

4.Breaking Though

5.Pan

6.Sicario

leowwwwwwwwweee

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE.

Tupia Comments