Mix

Umekisikia alichokizungumza Moyes Baada ya kumsajili Mata Man. United?hiki hapa.

By

on

2013-07-05T151917Z_541046953_LR2E97516JV3T_RTRMADP_2_SOCCER-ENGLAND-UNITEDBaada ya kukamilika kwa usajili wa Juan Mata kocha wa Manchester United David Moyes amesema kwamba huo ni mwanzo mengi mazuri yanakuja na ameweka bayana mpango wa kusajili nyota wengine wawili.

1
Kocha Moyes alisema>>’Huu ni mwanzo wa mengi yanayokuja,Nasonga mbele Juan akiwa mwanzo wa harakati zangu’
Wasaka vipaji wa United waliwaangalia wachezaji Filipe Luis na Diego Costa wakiisaidia Atletico Madrid kushinda 4-2 dhidi ya Rayo Vallecano.

article-2546402-1AFAE21A00000578-478_306x423

article-2546402-1AFAE51200000578-667_306x423Juan Mata anatarajiwa kuanza kuichezea Man United katika mechi dhidi ya Cardiff City kesho na hiini  baada ya kusajiliwa kwa dau la Pauni Milioni 37.1 kutoka Chelsea.

Tupia Comments