Mix

AUDIO: Ufafanuzi wa polisi K’njaro kuhusu aliyefariki baada ya kubatizwa

on

Taarifa kutokea Kilimanjaro ni kwamba kuna mtu ambaye amefariki  katika wilaya ya hai  muda mchache baada yakubatizwa kutoka kwenye dini ya kiislamu kuelekea kwenye dini yakikristo.

Kamanda wa polisi Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa amezungumza na millardayo.com ambapo anasema marehemu amefariki wakati akiwa anaendelea  kuogelea  nakufurahia baada yakubatizwa na sio kwamba amefariki wakati akiwa anabatizwa kama ilivyosemekana.

Unaweza kusikiliza full stori kwenye hii sauti hapa chini…

EXCLUSIVE: ‘Ukweli sina mimba, nilifanya vile kwa sababu’ Nisha 

Soma na hizi

Tupia Comments